Tuesday, July 21, 2009

Miss Higher Learning 09

Mchakato wa kupata warembo watakaochuana kuwania taji la Vodacom Miss Tanzania 2009 umeingia katika hatua nyingine kufuatia mchuano mkali wa kumsaka muwakilishi wa warembo wa Elimu ya juu ambapo Illuminata James alifanikiwa kulinyakua taji la Miss Higher learning 2009. Picha kwa hisani ya Vodacom

No comments:

Post a Comment